Jamhuri ya Muungano wa Tanzania • Mfumo wa Huduma kwa Wananchi
Mfumo rasmi wa huduma
Huduma Portal Tanzania
Huduma muhimu • Mfumo mmoja • Rahisi kutumia

Pata huduma muhimu kwa urahisi katika portal moja.

Chagua huduma, omba msaada, sajili akaunti, kisha fuatilia maendeleo kupitia dashboard.

Tazama Huduma
Huduma Kwanza Mtumiaji anaona huduma moja kwa moja.
Rahisi kwa Simu Imeboreshwa kwa watumiaji wa mobile.
Ufuatiliaji Rahisi Maombi yanafuatiliwa kwenye dashboard.
Huduma

Chagua huduma unayohitaji

Huduma zinaonekana moja kwa moja ili mtumiaji aanze bila kupoteza muda.

Vyeti

Cheti cha Kifo

Msaada wa usajili, badiliko na ufuatiliaji.

Usajili Badiliko Ufuatiliaji
Maelezo
Polisi

Loss Report

Msaada wa taarifa ya mali au nyaraka zilizopotea.

Nyaraka Mali Taarifa
Maelezo
Biashara

Leseni ya Biashara

Msaada wa maandalizi ya maombi na nyaraka.

Maombi Nyaraka Mwongozo
Maelezo
Kodi

Hesabu za Kodi

Msaada wa uelewa wa makadirio na mahitaji ya kodi.

Makadirio Mahitaji Mwongozo
Maelezo
Utambulisho

NIDA / Kitambulisho

Msaada wa taarifa na hatua za utambulisho.

Taarifa Hatua Ufuatiliaji
Maelezo
Jinsi inavyofanya kazi

Hatua rahisi za kutumia portal

Mteja anaona huduma, anaomba, kisha anaelekezwa dashboard kufuatilia maendeleo ya ombi.

01

Chagua huduma

Tafuta na uchague huduma unayohitaji moja kwa moja kwenye ukurasa wa kwanza.

02

Anza ombi

Jaza taarifa za awali, kisha endelea kwenye usajili wa akaunti.

03

Fuatilia dashboard

Angalia maendeleo ya huduma, maelekezo mapya, na huduma zaidi ulizoomba.